Home » songs »

Wenyeji Kisumu Waandamana Kufuatia Mauaji

By Kenya CitizenTV, On 29 Okt 2012

  Download lagu Wenyeji Kisumu Waandamana Kufuatia Mauaji


  Durasi: 2.56 | View: 613
  Source: YouTube.com/watch?v=FTtXd-1UGCs

  Link download ada di bawah sini silahkan dipilih:  Note: Before downloading Wenyeji Kisumu Waandamana Kufuatia Mauaji, you can preview any Video by mouse over the PLAY VIDEO button and click Play or Click DOWNLOAD button to download hd quality mp4 or Mp3 files. Search results from YouTube will be first converted, afterwards the file can be downloaded but search results from other sources can be downloaded right away as an MP4 file without any conversion or forwarding.

  Mji wa Kisumu umekumbwa na ghasia mchana kutwa kufuatia kuuawa kwa mwenyekiti wa chama cha ODM katika eneo la Kisumu Town West Shem Onyango Kwega kwa kupigwa risasi huku mkewe akijeruhiwa na kuachwa akiwa hali mahututi. Kisa hicho kilichotokea mwendo wa asubuhi kilipelekea maandamano na kufungwa kwa barabara kadhaa, ikiwemo ile ya kutoka Kisumu kuelekea Kakamega. Watu watatu walijeruhiwa wakati waandamanaji walikuwa wakipambana na maafisa wa polisi.

Terakhir Di Download