Home » songs »

News: Hitilafu ya huduma za M-pesa

By KTN News Kenya, On 28 Okt 2012

  Download lagu News: Hitilafu ya huduma za M-pesa


  Durasi: 0.44 | View: 305
  Source: YouTube.com/watch?v=G2kUHCgZu5Q

  Link download ada di bawah sini silahkan dipilih:  Note: Before downloading News: Hitilafu ya huduma za M-pesa, you can preview any Video by mouse over the PLAY VIDEO button and click Play or Click DOWNLOAD button to download hd quality mp4 or Mp3 files. Search results from YouTube will be first converted, afterwards the file can be downloaded but search results from other sources can be downloaded right away as an MP4 file without any conversion or forwarding.

  Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
  Kampuni ya mawasiliano ya safaricom imetangaza kukatizwa kwa huduma za M-pesa. Kampuni hiyo imeeleza kuwa tatizo hilo limetokana na hitilafu za mitambo katika kituo kikuu nchini ujerumani ambacho kimesababisha uharibifu mkubwa wa vifaa muhimu. Mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo bob collymore amesema mafundi wa mitambo kutoka kenya na ujerumani wanafanya kila wawezalo kuirekebisha hali hii.zaidi ya watu milioni 15 wanaotumia huduma hizi wameathirika pakubwa kutokana na hitilafu hiyo. Hata hivyo collymore anasema kufikia jioni ya leo tatizo hilo litakuwa limetatuliwa.

Terakhir Di Download